info@irdo.or.tz +255 719 547 460

MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI MEIMOSI YALIYOFANYIKA KIMKOA WILAYA YA ILEJE MKOA WA SONGWE

Maadhimisho ya siku ya wafanyakazi Mei Mosi Mkoa wa Songwe yaliyofanyika wilaya ya Ileje eneo la Uwanja wa Stendi ya Itumba, yaliyoongozwa na mkuu wa mkoa wa Songwe Mh. Daniel Chongolo. Shirkia la Uwiano wa maendleo Vijijini/IRDO ilishirikia maadhimisho hayo vilevile kulikuwa banda la maonesho ambalo liliwakilishwa na Bi. Fadhila Sendwa ambae alieleza shughuli na lengo la miradi inayofanywa na shirika, ikiwa ni pamoja na Uhakika wa Chakula na Uboreshaji Lishe/ FOSENI Agenda na madhumuni ya Jukwaa la Wanawake wa Vijijini/ RWA katika jamii ya watu wa Ileje